URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY {ulac}

UONGOZI WA SHIRIKA

Shirika la URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY huongozwa na viongozi wa ngazi za juu na wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa shirika na shughuli za kila siku husimamiwa na Kamati Kuu ya Utendaji na Mkurugenzi Mtendaji aliyepewa jukumu la kuhakikisha Sera, Kanuni na Miongozo mbali mbali za shirika zinatekelezwa ili kuhakikisha kuwa malengo ya shirika yanafikiwa kwa ukamilifu.

................................