URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY (ulac)

Uwekaji udogo kwenye viriba kwa ajili ya uoteshaji wa miti kwa ajili ya Bustani ya shirika la ULAC kwa ufadhili wa Alliance One Tobacco Tanzania Ltd

Uoteshaji wa miti kwenye bustani ya shirika la ULAC katika utunzaji wa mazingira.

Bwana Mungu Akamtwaa Huyo Mtu, Akamweka Katika Bustani Ya Edeni Ailime Na Kuitunza Mwanzo 02:15, Muhubiri 02:05 (Ndiyo Maana ULAC Tumerithi Mpango Wa Mungu)