URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY {ulac}
DHIMA
Kuona jamii yenye maisha yaliyo bora na wenye uhakika wa kupata huduma bora za msingi kielimu na kisheria.
Kuwezesha jamii kushiriki kikamilifu katika kufikia maendeleo endelevu ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni kwa kutumia fursa na rasilimali zilizopo kwa uendelevu na kuzingatia hali halisi ya mahitaji ya sasa na kutunza kwa ajili ya kizazi kijacho.
Kutoa elimu ya kisheria na msaada wa kisheria katika jamii


Connect
Get in touch with our team today.
Follow
Support
Simu Na:
+255 784 558 039
+255 762 145 454
+255 784 132 912
© 2025. All rights reserved.