URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY {ulac}

BAADHI YA SHUGHULI/MIRADI ILIYOTEKELEZWA:

Jedwali lifuatalo linaonyesha baadhi ya shughuli/miradi iliyotekelezwa kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2014 hadi 2024 kwa kushirikiana na wadau wengine wa maendeleo katika maeneo ya Halmashauri ya Wilaya ya Urambo.