URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY {ulac}

MUUNDO WA SHIRIKA

URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY inaundwa na wanachama ishirini na nne [21] wanaume 17 na wanawake 4. Chombo cha ngazi ya juu katika shirika na chenye mamlaka ya kutoa maamuzi kuhusu shirika ni Mkutano Mkuu wa wanachama ambao hufanyika mara mbili kwa mwaka ambao pia hupokea na kupitisha mipango mbali mbali ya shirika.