URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY {ulac}
MALENGO
Kutetea jamii kuzuia na kupunguza athali za ukatili wa kijinsia. (To advocate for community to prevent and mitigate the effect of Gender Based Violence to women and children) (GBV).
Kuijengea/kuiamshia jamii umakini na uangalifu kwa haki za watoto, wanawake, wazee na watu wasio na uwezo/walemavu (To raise community’s awareness on children, women, elders and people with disabilities’ rights.)
Kutoa Msaada wa kisheria na elimu ya Kisheria (To provide Legal Aid and Legal Education to Community)
Kuzuia, kupambana na kudhibiti maambukizi ya VVU/UKIMWI, TB, Malaria na kusaidia makazi kwa walio athirika na yatima. (To prevent fight and Control HIV/AIDS, TB, Malaria and to support home for affected and orphans).
Kutunza uhifadhi na mazingira endelevu. (To taking care of conservation and suitable environment).
Connect
Get in touch with our team today.
Follow
Support
Simu Na:
+255 784 558 039
+255 762 145 454
+255 784 132 912
© 2025. All rights reserved.