URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY (ulac)

DIRA/NJOZI

Tunaelekeza hasa katika kuifikia na kuihudumia jamii katika haki na usawa. (We envision a just and equitable society).

Bi. Sauda Fadhili, akifurahia Nakala ya hukumu kutok Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya ya ushindi wa kesi iliyokuwa imeamliwa kuvunja nyumba eti imejengwa kwenye kiwanja cha mtu mwingine kinyume na sheria. Baada ya kukatiwa rufaa ameshinda na kuamliwa kuendeleza ujenzi katika kiwanja chake.