URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY {ulac}

SHUGHULI ZA SHIRIKA

Shirika la URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY linajishughulisha na shughuli mbali mbali za kisheria na za kimaendeleo zinazolenga kuboresha huduma za msingi za kijamii ili kuweza kuboresha maisha ya jamii yasiyo na hofu juu ya haki zao. Miongoni mwa shughuli hizo ni pamoja na;

i. Kuhamasisha kuelimisha jamii juu ya elimu ya kisheria (Legal Aid)

ii. Kuhamasisha na kutoa elimu ya kisheria (Legal Education)

iii. Kuhamasisha jamii kuwa na elimu bora na afya bora kwa jamii.

iv. Kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa vitendo