
URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY (ulac)
VISION/DREAM - DIRA/NJOZI
Tunajenga msingi wa kuwa na jamii yenye haki na usawa.
We are creating the groundwork for a just and equitable community.
Bi. Sauda Fadhili, akifurahia Nakala ya hukumu kutok Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya ya ushindi wa kesi iliyokuwa imeamliwa kuvunja nyumba eti imejengwa kwenye kiwanja cha mtu mwingine kinyume na sheria. Baada ya kukatiwa rufaa ameshinda na kuamliwa kuendeleza ujenzi katika kiwanja chake.
Ms. Sauda Fadhili, celebrating the receipt of the ruling from the Land and Housing Council of the District regarding her successful appeal against the order to demolish her home, which was allegedly built on another person's land unlawfully. Following the appeal, she triumphed and was instructed to resume construction on her property.
Mati Mubondo, the Head of the Academy, emphasizes that leading cassava farmers should consider the lessons they have learned.




Mkuu wa Chuo hicho, Mati Mubondo, anaangazia kwamba wakulima wakuu wa zao la muhogo wanapaswa kutafakari mafundisho waliyopokea.
Connect
Get in touch with our team today.
Follow
Support
Simu Na:
+255 784 558 039
+255 762 145 454
+255 784 132 912
© 2025. All rights reserved.
Office Information
Location: Mtaa wa Boma Village, near the Member of Parliament's (Mbunge) office, Urambo Town, Tabora.
Postal Address: P.O. Box (S.L.P) 324, Urambo – Tabora.
Office Information
Executive Director:
Mzee Alfred Kalugendo
Key Staff: Neema Orgeness (Accountant)
