URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY (ulac)

LIABILITY/DHIMA
  1. Kuona jamii yenye maisha yaliyo bora na wenye uhakika wa kupata huduma bora za msingi kielimu na kisheria.

  1. Kuwezesha jamii kushiriki kikamilifu katika kufikia maendeleo endelevu ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni kwa kutumia fursa na rasilimali zilizopo kwa uendelevu na kuzingatia hali halisi ya mahitaji ya sasa na kutunza kwa ajili ya kizazi kijacho.

  1. Kutoa elimu ya kisheria na msaada wa kisheria katika jamii

  1. To see a society with a better life and guaranteed access to better basic educational and legal services.

  2. Enabling the community to fully participate in achieving sustainable social, economic and cultural development by using the opportunities and resources available sustainably and considering the reality of current needs and taking care for the next generation.

  3. Providing legal education and legal aid in the community