URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY (ulac)

MUUNDO WA SHIRIKA

URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY inaundwa na wanachama ishirini na moja [21] wanaume 17 na wanawake 4. Chombo cha ngazi ya juu katika shirika na chenye mamlaka ya kutoa maamuzi kuhusu shirika ni Mkutano Mkuu wa wanachama ambao hufanyika mara mbili kwa mwaka ambao pia hupokea na kupitisha mipango mbali mbali ya shirika.

URAMBO LEGAL AVAILMENT AND CHARITY consists of twenty-one members [21], including 17 men and 4 women. The supreme governing body of the organization, which possesses the authority to make organizational decisions, is the General Meeting of members. This meeting occurs biannually and is responsible for receiving and approving various plans for the organization.

Agricultural training for the best practice in one of the farms in Mati Mubondo college Kasulu District

Mafunzo ya kilimo cha utendakazi bora katika moja ya mashamba katika chuo cha Mati Mubondo Wilaya ya Kasulu